| Balozi Mugoya na Bw. Mbilinyi wakiwa katika meza kuu kabla hawajasoma hotuba za ufunguzi. |
| Sehemu ya ujumbe wa Uganda ukifuatilia ufunguzi wa mkutano wa JPC. |
| Mhandisi Robert Marealle kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akiongea jambo katika mkutano wa JPC. |
| Ujumbe wa Tanzania |