Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Oct 17, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_36942" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar, katikati Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.[/caption] [caption id="attachment_36943" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, wakielekea katika mabanda ya maonesho baada ya kuwasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_36945" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa Kikundi cha JULUKIZA Ndg. Ali Bakari akitowa maelezo ya vitu vya mbalimbali vya Asili wakati akitembelea Maonesho ya Utalii yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_36948" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa Habari na Uhusiano wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg. Amour Mtumwa Ali alipotembelea banda la Maonesho la Kamisheni ya Utalii wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_36949" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maoneshi ya Kitalii Zanzibar kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kufungua maonesho hayo yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_36950" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Utalii Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia katika ufunguzi huo uliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_36951" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kitalii Zanzibar yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na kuhudhuriwa na Makampuni mbalimbali ya Kitalii ya nje na ndani ya Zanzibar.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi