Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

TIC Yawafunda Wabunge Kamati za Uwekezaji, Katiba na Sheria Jijini Dodoma
Nov 07, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_48669" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.[/caption] [caption id="attachment_48670" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji, Dkt. Raphael Chegeni akichangia mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Najma Giga.[/caption] [caption id="attachment_48671" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Prof. Longinus Rutasira akitoa maelezo wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.[/caption] [caption id="attachment_48673" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Geofrey Mwambe akiwasilisha mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.[/caption] [caption id="attachment_48675" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wabunge wakifuatilia mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji, na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. (Picha na Idara ya Habari –MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi