Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Teknolojia Kuboresha Mfuko Bima ya Afya ya Jamii
Apr 07, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_29964" align="aligncenter" width="1000"] Afisa Tehama wa Taasisi ya Kuhamasisha Uimarishaji wa Mifumo ya Afya (HPSS), Abdallah Muchunguzi akiwaelekeza namna mfumo wa usimamizi wa taarifa za mwanachama wa Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa (IMIS)unavyofanyakazi wakati wa mafunzo kwa ajili ya wakufunzi wa mikoa kuhusu mifumo ya Upelekaji wa fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za Afya (DHFF), Bima ya Afya ya Jamii(CHF) na Utaratibu wa manunuzi ya dawa nje ya mfumo wa MSD (Jazia – Prime Vendor System) jana jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.[/caption] [caption id="attachment_29965" align="aligncenter" width="1000"] Afisa Tehama wa Taasisi ya Kuhamasisha Uimarishaji wa Mifumo ya Afya (HPSS), Abdallah Muchunguzi akimpiga picha mmoja ya washiriki wa mafunzo kwa ajili ya usajili wa mwanachama wa CHF kutumia mfumo wa usimamizi wa taarifa (IMIS) kupitia simu maalumu ikiwa ni njia ya mafunzo kwa vitendo namna mfumo wa Bima ya Afya ya Jamii(CHF) iliyoboreshwa unavyofanyakazi kwa ajili ya wakufunzi wa mikoa jana jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.[/caption] [caption id="attachment_29966" align="aligncenter" width="1000"] Afisa Tehama wa Mkoa wa Mbeya Bi. Atupokile Mdeka akimwelekeza jambo Mtaalamu wa Mawasiliano wa Mradi wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3), Bi. Leah Mwainyekule wakati wa mafunzo kwa vitendo kuhusu namna mfumo wa Bima ya Afya ya Jamii(CHF) iliyoboreshwa unavyofanya kazi kupitia simu maalum jana jijini Mbeya. Washiriki wa mafunzo hayo ni Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makatibu Afya, Waratibu wa Bima za Afya, Maafisa Ugavi, Maafisa Tehama na Wahasibu kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi, Rukwa na Songwe chini ya ufadhili wa USAID/PS3.[/caption] [caption id="attachment_29968" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Maafisa Tehamu wakitoa msaada kwa Washiriki wa mafunzo ya wakufunzi wa mikoa kuhusu utekelezaji wa mifumo ya Upelekaji wa Fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za Afya (DHFF), Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa(CHF), na Mfumo wa manunuzi nje ya utaratibu rasmi wa MSD (Jazia – PVS) wakishiriki kwa vitendo mafunzo kuhusu zoezi la usajili wa wanachama wa Bima ya Afya ya Jamii (CHF) kupitia mfumo wa usimamizi wa taarifa (IMIS) jana jijini Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_29969" align="aligncenter" width="1000"] Washiriki wa mafunzo ya wakufunzi wa mikoa kuhusu utekelezaji wa mifumo ya Upelekaji wa Fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za Afya (DHFF), Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa(CHF), na Mfumo wa manunuzi nje ya utaratibu rasmi wa MSD (Jazia – PVS) wakitumia simu maalumu kwa ajili ya kusajilia wanachama wapya wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii (CHF) katika mafunzo yaliyokuwa yanaendelea leo jijini Mbeya.[/caption] [caption id="attachment_29970" align="aligncenter" width="1000"] Washiriki wa mafunzo ya wakufunzi wa mikoa kuhusu utekelezaji wa mifumo ya Upelekaji wa Fedha moja kwa moja katika vituo vya kutolea huduma za Afya (DHFF), Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa(CHF), na Mfumo wa manunuzi nje ya utaratibu rasmi wa MSD (Jazia – PVS) wakifanya mazoezi ya kuingiza taarifa za mwanachama wa CHF kwa kutumia mfumo wa Usimamizi wa Taarifa (IMIS) kupitia simu za mkononi jana jijini Mbeya. (Picha na: MAELEZO, Mbeya)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi