Tuvuti Kuu
Mrejesho
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO
Tanzania Yashiriki Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu wa IMF
Oct 12, 2023
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, ambaye anaongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) inayofanyika Marrakech nchini Morocco, kwa niaba ya Waziri wa Fedha wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, ameshiriki mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu kutoka Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika ambazo ni wanachama wa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), uliohudhuriwa pia na Mkurugenzi Mtendaji wa IMF, Bi. Kristalina Georgieva, ambapo wamejadiliana fursa na changamoto zinazozikabili nchi zao na kupendekeza IMF iongeze ufadhili wa misaada na mikopo kwa nchi hizo ili ziweze kukabiliana na athari za majanga ya dunia na kutekeleza mipango yao ya kuharakisha maendeleo ya nchi zao na kupiga vita umasikini.
Na Joseph Mahumi
Habari Mpya
Hatutavumilia vitendo vyovyote vinavyochochea machafuko na mifarakano nchini – R...
Sep 17, 2024
Tanzania Yazuia Tani 216 za Kemikali Hatari kwa Tabaka la Ozoni
Sep 17, 2024
Rais Dkt. Mwinyi Atoa Rai kwa ZRCP Kuanzisha Mfumo Wezeshi Kwenye Biashara Zinaz...
Sep 17, 2024
Mwanza Yaja na Kliniki ya Ardhi Kata kwa Kata Kuwafikia Watu Kwenye Maeneo Yao
Sep 13, 2024
Nishati Safi ya Kupikia ni Ajenda ya Kuokoa Maisha ya Watu - Dkt. Biteko
Sep 13, 2024
Waziri Kijaji Akutana na Kamisheni ya Tabianchi ya Bonde la Congo
Sep 13, 2024
Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Marekebisho ya Maandishi
Ndogo
Kawaida
Kubwa