Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Tanzania Yaipa Misaada ya Dawa na Vyakula Malawi, Msumbiji na Zimbabwe
Mar 19, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakagua madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.[/caption]  

[caption id="" align="aligncenter" width="750"] Askari wa Jeshi la Ulinzi wakishusha misaada ya madawa na chakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.[/caption] [caption id="" align="aligncenter" width="750"] Brigedia General Francis Mushi wa kikosi cha anga cha JWTZ akiongea na wanahabari baada ya kukabidhiwa misaada ya madawa na chakula ili kuipeleka nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba[/caption]  
[caption id="attachment_41338" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakipokea misaada ya madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika. PICHA NA SULTANI KIPINGO[/caption]  

Habari Mpya

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi