Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya
Jul 17, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_33634" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula akizungumza mara baada ya kukabidhiwa msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma.Kulia ni Mkurugenzi wa Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii (CHSSP), Dkt. Tulli Tuhuma na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Afya toka Tamisemi, Rasheed Maftah. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).[/caption] [caption id="attachment_33635" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi wa Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii (CHSSP), Dkt. Tulli Tuhuma akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula na kulia ni Mwakalishi wa USAID, Bi. Linda Madeleka. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).[/caption] [caption id="attachment_33636" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula (kushoto) akipeana mkono na Mwakilishi wa USAID, Bi. Linda Madeleka wakati wa hafla fupi ya kukabidhiana msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii (CHSSP), Dkt. Tulli Tuhuma. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).[/caption] [caption id="attachment_33637" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula (kushoto) akitiliana saini hati ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii na Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii (CHSSP), Dkt. Tulli Tuhuma wakati wa hafla fupi ya kukabidhiana msaada huo leo jijini Dodoma. Kulia ni Mwakilishi wa USAID, Bi. Linda Madeleka. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).[/caption] [caption id="attachment_33638" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula (kushoto) akakipokea hati ya makabidhiano msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mwakilishi wa USAID, Bi. Linda Madeleka na Mkurugenzi wa Mradi wa Kuimarisha Mifumo ya Afya na Ustawi wa Jamii (CHSSP), Dkt. Tulli Tuhuma. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).[/caption] [caption id="attachment_33639" align="aligncenter" width="919"] Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula (katikati) akipokea ufunguo wa gari na Mwakilishi wa USAID, Bi. Linda Madeleka wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Afya toka Tamisemi, Rasheed Maftah. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).[/caption] [caption id="attachment_33640" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula akiwasha gari mara baada ya kukabidhiwa ufunguo wa gari hiyo na Mwakilishi wa USAID, Bi. Linda Madeleka (hayupo pichani) wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).[/caption] [caption id="attachment_33641" align="aligncenter" width="1000"] Muonekano wa gari aina ya Toyota Landcruser lilolokabidhiwa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).[/caption] [caption id="attachment_33642" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla fupi ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za Ukimwi katika ngazi ya jamii leo jijini Dodoma. Msaada huo umetolewa kwa TAMISEMI na Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani(USAID) kupitia mradi wa CHSSP unaotekelezwa na Shirika lisilo la Kiserikali la John Snow Inc (JSI).(Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi