Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu, Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "A" leo katika shamrashamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake.
Na
Ikulu - Zanzibar