Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania, Bi. Zuhura Songambele Maganga kabla ya kufungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Mikutano wa JKCC, jijini Dodoma leo Juni 2, 2022.