Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

SSRA Yawapiga Msasa Wabunge Kuhusu Dhana ya Hifadhi ya Jamii
Mar 28, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41493" align="aligncenter" width="1000"] Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Onorius Njole akiongea na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu dhana ya Hifadhi ya Jamii na Umuhimu wake kwa Jamii, ambapo alisema moja ya mafanikio ya mamlaka hiyo imewezesha kuhuisha uwekezaji wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa kutoa Miongozo ya Uwekezaji katika semina iliyofanyika leo Bungeni Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41494" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Anthony Mavunde akiongea na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati wa Semina kuhusu dhana ya Hifadhi ya Jamii na Umuhimu wake kwa Jamii iliyofanyika leo Bungeni Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41495" align="aligncenter" width="1000"] Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia Semina kuhusu dhana ya Hifadhi ya Jamii na Umuhimu wake kwa Jamii iliyofanyika leo Bungeni Mjini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_41496" align="aligncenter" width="1000"] Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) akiongea wakati wa Semina kwa wajumbe wa kamati hiyo kuhusu dhana ya Hifadhi ya Jamii na Umuhimu wake kwa Jamii iliyoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi