Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

SSRA Yatoa Mafunzo kwa Washiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha Kuhusu Umuhimu wa Kujiunga na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Oct 06, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_17422" align="aligncenter" width="750"] Mwezeshaji Bibi. Sarah Kibonde Msika –Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano kwa Umma na Uhamasishaji, Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), akitoa elimu kuhusu umuhimu wa Hifadhi ya Jamii kwa washiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_17425" align="aligncenter" width="750"] Washiriki wa mafunzo wakimsikiliza kwa makini mwezeshaji Bibi. Sarah Kibonde Msika (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu umuhimu wa Hifadhi ya Jamii kwa wananchi.[/caption] [caption id="attachment_17428" align="aligncenter" width="750"] Bibi. Agnes Lubuva, Afisa Mahusiano kwa Umma na Uhamasishaji, Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), akitoa maelezo kwa wananchi kuhusu kazi na wajibu wa SSRA katika kusimamia Hifadhi ya Jamii nchini.[/caption] [caption id="attachment_17431" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa Banda la Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), katika Maadhimisho ya Wiki ya Fedha yanayoendelea katikaViwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. (Picha zote na: Thomas Nyindo)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi