Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Spika Ndugai Ahamasisha Wananchi Kusajili Upya Laini Zao za Simu
May 07, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42865" align="aligncenter" width="738"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi James Kilaba wakiwasili katika vwanja vya Bunge kukagua maendeleo ya zoezi la Usajili Mpya wa Simu kwa kutumia akitembelea baadhi ya mabanda ya wadau wa Mawasiliano ya Simu katika viwanja vya katika zoezi la Usajili Upya wa Laini za Simu kutumia Kitambulisho cha Taifa liloratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikisha Kampuni za simu Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_42866" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akitembelea baadhi ya mabanda ya wadau wa Mawasiliano ya Simu katika viwanja vya Bunge leo jijini Dodoma katika zoezi la Usajili Upya wa Laini za Simu kutumia Kitambulisho cha Taifa liloratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikisha Kampuni za simu. Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi na Mawasiliano), Mhandisi Atashasta Nditiye.[/caption]   [caption id="attachment_42869" align="aligncenter" width="750"] akichukuliwa alama ya kidole alipotembelea moja ya mabanda ya Kampuni za Simu na Kusajili Laini katika viwanja vya Bunge leo jijini Dodoma katika zoezi la Usajili Upya wa Laini za Simu kutumia Kitambulisho cha Taifa liloratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikisha Kampuni za simu. Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi na Mawasiliano), Mhandisi Atashasta Nditiye.[/caption] [caption id="attachment_42870" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Wabunge na Wafanyakazi wa Bunge wakisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa TTCL walipotembelea Banda la Kampuni hiyo katika viwanja vya Bunge leo jijini Dodoma katika zoezi la Usajili Upya wa Laini za Simu kutumia Kitambulisho cha Taifa liloratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikisha Kampuni za simu.[/caption] [caption id="attachment_42871" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Iramba Mashariki, Lameck Mwigulu Nchemba(MB), akisajili laini alipotembelea moja ya mabanda ya Kampuni za Simu na Kusajili Laini katika viwanja vya Bunge leo jijini Dodoma katika zoezi la Usajili Upya wa Laini za Simu kutumia Kitambulisho cha Taifa liloratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikisha Kampuni za simu. Kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi na Mawasiliano), Mhandisi Atashasta Nditiye. (Picha na: Frank Shija –MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi