Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Serikali Yatoa Ufafanuzi dhidi ya Tamko la TUCTA Kuhusu Kauli ya Rais Magufuli Aliyoitoa katika Mkutano wa ALAT
Oct 13, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_19225" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (katikati) Dkt. Hassan Abbassi akisisitiza jambo wakati akiongea na Waandishi wa Habari  leo jijini Dar es Salaam kuhusu madai ya Tucta juu ya kauli ya Mhe. Rais Magufuli  Aaliyoitoa hivi karibuni.  Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili), Patrick Kipangula na Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha), Rodney Thadeus.[/caption] [caption id="attachment_19228" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (katikati) Dkt. Hassan Abbassi akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu madai ya Tucta juu ya kauli ya Mhe. Rais Magufuli aliyoitoa hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili), Patrick Kipangula na Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha), Rodney Thadeus.[/caption] [caption id="attachment_19231" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (katikati) Dkt. Hassan Abbassi akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu madai ya Tucta juu ya kauli ya Mhe. Rais Magufuli aliyoitoa hivi karibu.  Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili), Patrick Kipangula na Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha), Rodney Thadeus. (Picha na: Frank Shija)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi