Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Serikali Yatoa Motisha kwa Wanafunzi Bora, Shule Zilizofanya Vizuri 2018
Jun 14, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44403" align="aligncenter" width="803"] Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.[/caption] [caption id="attachment_44404" align="aligncenter" width="860"] Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Avemaria Semakafu akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.[/caption] [caption id="attachment_44405" align="aligncenter" width="1000"] Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais –TAMISEMI, Bibi. Odilia Joseph Mushi akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.[/caption] [caption id="attachment_44406" align="aligncenter" width="1000"] Kaimu Kamishna wa Elimu Tanzania, Lyabwna Mtahabwa akielezea tuzo za Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo hizo leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.[/caption] [caption id="attachment_44407" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato ya jijini Dodoma wakifuatilia hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.[/caption] [caption id="attachment_44408" align="aligncenter" width="1000"] Miongoni mwa wanafunzi bora wa Kidato cha Sita mwaka 2018 tokea Shule ya Sekondari Mvumi, Erick Maximilian akipokea cheti na zawadi pesa taslimu shilingi milioni 1.5 toka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Pamoja na kuwa mwanafunzi huyo kuwa ni mwenye mahitaji maalum.[/caption] [caption id="attachment_44409" align="aligncenter" width="1000"] Meneja wa Shule ya Kaizirege and Kemebos toka Bukoba,Eulogius William akipokea cheti na tuzo toka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako kutambua mchango wa Shule zilizofanya vizuri katika matokeo ya mwaka 2018 wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_44410" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Darasa la Saba 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.[/caption] [caption id="attachment_44411" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Kidato cha Nne mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.[/caption] [caption id="attachment_44412" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Kidato cha Sita mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.[/caption] [caption id="attachment_44413" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya hafla ya Siku ya Elimu ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla hiyo leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu. (Na: Mpiga Picha Wetu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi