Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Serikali, Buzwagi Kushirikiana Kulinda Ulinzi na Usalama Kahama
Jul 15, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45286" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha ulinzi katika wilaya hiyo.[/caption] [caption id="attachment_45287" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi, Arthur Mgongo akizungumza mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha Ulinzi katika wilaya hiyo.[/caption] [caption id="attachment_45288" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akipokea zawadi ya kitabu cha kuhifadhia kumbukumbu kutoka kw Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi, Arthur Mgongo wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha Ulinzi katika wilaya hiyo.[/caption] [caption id="attachment_45289" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionesha zawadi ya kitabu cha kuhifadhia kumbukumbu alichopokea kutoka kwa Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi ,Arthur Mgongo(kushoto), wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha Ulinzi katika wilaya hiyo.[/caption] [caption id="attachment_45290" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiongozana na Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi, Arthur Mgongo (kulia) wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani Kahama ilipotembelea mgodi huo ikiwa ni ziara ya kuimarisha Ulinzi katika wilaya hiyo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi