Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Safari Kuelekea Mradi wa Kufua Umeme wa Rufiji Hydropower Project Yashika Kasi
Aug 03, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34048" align="aligncenter" width="926"] Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Steven Kebwe akiwaelezea jambo baadhi ya Mawaziri wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa uzalishaji umeme katika mto Rufiji (Rufiji Hydropower Project) mara baada ya kufika katika eneo la Matambwe wilayani Rufiji mkoani Pwani jana. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Waziri wa Nishati, Dkt. Merdard Kalemani na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.[/caption] [caption id="attachment_34049" align="aligncenter" width="667"] Msimamizi wa Mradi wa usambazaji umeme kwa ajili ya kuhudumia mkandarasi wa ujenzi wa Mradi wa uzalishaji umeme katika mto Rufiji (Rufiji Hydropower Project), toka Kampuni tanzu ya Tanesco ya ETDCO, Mhandisi Eliangwa Abubakar Akielezea namna usambazaji wa umeme utakavyotumia nguzo maalum za zege zenye urefu wa mita 17 katika kusafirisha umeme kuelekea eneo la mradi wa Rufiji Hydropower Project wakati wa ziara ya Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara zinazoshiriki katika utekelezaji wa mradi huo jana. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira,January Makamba, Waziri wa Nishati, Dkt. Merdard Kalemani, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi. Nguzo hizo zitatumika katika eneo la Pori la Akiba la Selous kwa lengo la kutoathiri ekolojia ya viumbe hai katika hifadhi hiyo.[/caption] [caption id="attachment_34051" align="aligncenter" width="768"] Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni tanzu ya TANESCO ya ETDCO wakitandandaza waaya wa umeme ardhini kwa ajili ya kukpitisha umeme katika maeneo ya viwanjwa vya ndege vya Matambwe na eneo la mradi la Stiglers wilayani Rufiji mkoani Pwani jana.[/caption] [caption id="attachment_34052" align="aligncenter" width="899"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali akiangali waya wa umeme unaopitishwa ardhi kwa ajili ya kukpitisha umeme katika maeneo ya viwanjwa vya ndege vya Matambwe na eneo la mradi la Stiglers wakati wa ziara ya Mawaziri na Makatibu Wakuu wa wizara zinazoshiriki katika utekelezaji wa mradi wa Rufiji Hydropower Project jana wilayani Rufiji mkoani Pwani. Nyuma yake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara hiyo Rodney Thadeus.[/caption] [caption id="attachment_34053" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Makatibu Wakuu na watendaji kutoka Wizara mbalimbali wakiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa hatua za maandalizi ya wa mradi wa Rufiji Hydropower Project jana wilayani Rufiji mkoani Pwani.[/caption] [caption id="attachment_34054" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu na baadhi ya Makatibu Wakuu na watendaji kutoka wizara mbalimbali wakiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa hatua za maandalizi ya wa mradi wa Rufiji Hydropower Project jana wilayani Rufiji mkoani Pwani.[/caption] [caption id="attachment_34055" align="aligncenter" width="815"] Baadhi ya Mawaziri wa Wizara zinazoshiriki katika utekelezaji wa mradi wa uzalishaji umeme wa Rufiji Hydropower Project wakitazama eneo la bonde la mto Rufiji (Stiglers Gorge) patakapo jengwa mradi huo jana wilayani Rufiji mkoani Pwani.[/caption] [caption id="attachment_34058" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Makatibu Wakuu wa Wizara zinazoshiriki katika utekelezaji wa mradi wa uzalishaji umeme wa Rufiji Hydropower Project wakiwa juu ya kingo za eneo la bonde la mto Rufiji (Stiglers Gorge) patakapo jengwa mradi huo jana wilayani Rufiji mkoani Pwani. (Picha zote na: Idara ya Habari – MAELEZO, Rufiji Pwani). [/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi