Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA), alipofika Ikulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo na kutoa maelezo kuhusiana na mkutano wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutoa maelezo ya Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.