Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Dk. Shein Azindua Kituo cha Afya Michezani Pemba
Jan 05, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26324" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kukifungua Kituo cha Afya katika Kijiji cha Michezani Pemba Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26325" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kukifungua Kituo cha Afya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba.[/caption] [caption id="attachment_26326" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Dkt. Mohammed Faki Shariff wakati akitembelea vyumba vya Kituo hicho baada ya kukifungua leo.[/caption] [caption id="attachment_26327" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali mwananchi aliyelazwa kwa mapumziko katika Kituo hicho cha Afya Michezani Rehema Omar, alipofika kupata matibabu.[/caption] [caption id="attachment_26329" align="aligncenter" width="750"] WANANCHI wa Kijiji cha Michezani wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,  Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo hicho ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_26331" align="aligncenter" width="750"] WAZIRI wa Afya Zanzibar akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Afya Michezani kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)[/caption] [caption id="attachment_26330" align="aligncenter" width="750"] NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid akitowa maelezo ya ujenzi wa Kituo cha Afya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba wakati wa ufunguzi wake.(Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi