Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Atembelea Studio ya Redio Rahaleo Zanzibar
Jan 10, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26707" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Aiman Duwe, alipowasili katika viwanja vya Redio ZBC Rahaleo alipofika kutembelea na kuagalia Studio za kutangazia.[/caption] [caption id="attachment_26708" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Watangazaji wa ZBC Redio Suzan Kunambi alipotembelea moja ya Studio wakati wa ziara yake kutembelea jengo la hilo Rahaleo.[/caption] [caption id="attachment_26709" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Fundi Mitambo wa chumba cha kutangazia Abdulrahaman Othman, alipotembelea Studio za ZBC Rahaleo.[/caption] [caption id="attachment_26710" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Watangazaji wa ZBC Redio Suzan Kunambi alipotembelea moja ya Studio wakati wa ziara yake kutembelea jengo la hilo Rahaleo.[/caption] [caption id="attachment_26711" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Aiman Duwe akitowa maelezo wakati wa ziara yake akitembelea ukumbi mkubwa wa kurikodiwa katika jengo hilo.([/caption] [caption id="attachment_26712" align="aligncenter" width="750"] MtangazajI wa ZBC Spice Abubakari Khatibu Haki Kisandu akiwa katika mmoja ya Studio za ZBC, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.[/caption]   [caption id="attachment_26714" align="aligncenter" width="750"] Fundi Mkuu Msaidi wa ZBC Redio Joseph Lazaro akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipofanya ziara kutembelea Studio za ZBC Redio rahaleo akiwa katika chumba cha kurushia matangazo[/caption] [caption id="attachment_26715" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Chumba cha Habari wa ZBC Redio Lulu Mzee akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipotembelea chumba cha habari wakati wa ziara yake katika jengo la ZBC Redio rahaleo.[/caption] [caption id="attachment_26716" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Aiman Duwe, akitowa maelezo wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar alipotembelea chumba cha habari ZBC Redio Rahaleo[/caption] [caption id="attachment_26717" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa ZBC Redio rahaleo wakati wa ziara yake akiwa katika chumba cha habari katika jengo hilo.(Picha na Ikulu)[/caption] [caption id="attachment_26718" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa ZBC Redio rahaleo wakati wa ziara yake akiwa katika chumba cha habari katika jengo hilo.(Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi