Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Afunguzi Jengo la Mtakimu Mkuu wa Serekali Mazizini Zanzibar
Jan 04, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_26284" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Jengo Jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serekali lililopo mazizini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_26287" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika maeneo ya mazizini Zanzibar kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed (MBM),Mkurugenzi Mkaazi Banki ya Dunia,Ms. Bella Bird na kushoto Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dk. Ashatu Kijaji wakishiriki katika kukata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo hilo.[/caption] [caption id="attachment_26288" align="aligncenter" width="750"] Mtakwimu Mkuu wa Serikali Bi, Mayasa Mahfoudh Mwinyi , akitowa maelezo kwa Rai wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea jengo hilo baada ya kulifungua rasmin leo, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_26289" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipanda mti wa mnazi katika eneo la jengo la Mtakwimu Mkuu wa Serikali baada ya uzinduzi wa jengo hilo huko mzizini Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_26292" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa engo Jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serikali wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ai Mohamed Shein, akihutubia. baada ya uzinduzi huo.[/caption]   [caption id="attachment_26294" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dk. Ashatu Kijaji akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali mazizini Zanzibar.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi