Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Zanzibar akutana na Mabalozi
Nov 27, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23586" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar Dk Shein Ikulu leo 27-11-2017.[/caption] [caption id="attachment_23587" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kulia Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Balozi Xie Xiuowu.[/caption] [caption id="attachment_23589" align="aligncenter" width="750"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Mhe. Abrahaman Kaniki , walipofika kumuaga Rais wa Zanzibar leo Ikulu. 27-11-2017.[/caption] [caption id="attachment_23593" align="aligncenter" width="680"] RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi za Zambia na Misri, kulia Balozi wa Tanzania Nchini Misri Mhe. Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Balozi wa Zambia Mhe Abrahaman Kaniki, walipofika Ikulu Zanzibar kumuaga Rais wa Zanzibar leo 27-11-2017.(Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi