Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Kongo Awasili Nchini na Kupokelewa na Mwenyeji Wake Dkt. Magufuli Juni 13, 2019
Jun 14, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44364" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi akikabidhiwa Ua la ishara ya Upendo na kumkaribisha Nchini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt.John Pombe Magufuli kabla ya kuelekea Ikulu kwa ajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.[/caption] [caption id="attachment_44365" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwa ajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.[/caption] [caption id="attachment_44366" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwa ajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.[/caption] [caption id="attachment_44367" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi akikagua paredi maalumu aliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt.John Pombe Magufuli kabla ya kuelekea Ikulu kwa ajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.

[/caption] [caption id="attachment_44368" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wakiwapungia mikono wananchi waliojitokeza katika sherehe za kumkaribisha Rais wa Kongo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwa ajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.[/caption] [caption id="attachment_44370" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwa ajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa.[/caption] [caption id="attachment_44371" align="aligncenter" width="683"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi kutoka kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es salaam kabla ya mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Ikulu kwa Mwaliko wa Rais Dkt.Magufuli.[/caption] [caption id="attachment_44372" align="aligncenter" width="750"]
Picha namba 12. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha ya wanyama mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es salaam kabla ya mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Ikulu kwa mwaliko wa Rais Dkt. Magufuli.[/caption] [caption id="attachment_44373" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es salaam kabla ya mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Ikulu kwa mwaliko wa Rais Dkt. Magufuli.[/caption] [caption id="attachment_44374" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es salaam kabla ya mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika Ikulu kwa mwaliko wa Rais Dkt.Magufuli.[/caption] [caption id="attachment_44375" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais wa awamu ya pili Mhe. Ali Hassani Mwinyi kwa Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es salaam katika Dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt. Magufuli Ikulu Jijini Dar es salaam. Junin 13, 2019. Kushoto kwa Rais Tshisekedi ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi