Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Awasili Chato Mkoani Geita na Kupokewa na Mwenyeji Wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Jul 05, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44982" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita kwa ziara binafsi ya siku mbili.[/caption] [caption id="attachment_44984" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wakipita kwenye Gadi ya Heshma iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita kwa ziara binafsi ya siku mbili.[/caption] [caption id="attachment_44985" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakipungia mikono wananchi waliofika katika uwanja wa ndege wa Chato katika mapokezi ya Rais huyo wa Kenya.[/caption] [caption id="attachment_44986" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakizungumza wa wananchi wa Chato njiapanda wakati wakitokea uwanja wa Ndege wa Chato.[/caption] [caption id="attachment_44987" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakizungumza wa wananchi wa Chato waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita.[/caption] [caption id="attachment_44988" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita[/caption] [caption id="attachment_44989" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wakiangalia vikundi vya Kwaya mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi