[caption id="attachment_43182" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Gilbert Houngbo, Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (International Fund for Agriculture Development - IFAD - ) , alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019.[/caption]
[caption id="attachment_43181" align="aligncenter" width="750"]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kaatika picha ya pamoja na Bw. Gilbert Houngbo, Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (International Fund for Agriculture Development - IFAD - ) , na ujumbe wake pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na
maafisa wa serikali baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019.[/caption]
[caption id="attachment_43184" align="aligncenter" width="750"]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Bw. Gilbert Houngbo, Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (International Fund for Agriculture Development - IFAD -) , alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019.[/caption]
[caption id="attachment_43185" align="aligncenter" width="683"]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Bw. Gilbert Houngbo, Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (International Fund for Agriculture Development - IFAD - ) , alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019.[/caption]