Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Shein Azindua Mpango Shirikishi wa Kutokomeza Kipindupindu Zanzibar
Sep 10, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46657" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe wa vitabu vya Mpango kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar (katikati) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed[/caption] [caption id="attachment_46660" align="aligncenter" width="750"] Viongozi na Watendaji mbali mbali katika Serikai ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi wa mpango Shirikishi wa Kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[/caption] [caption id="attachment_46661" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa (ZAWA)Mussa Ramadhan Haji (kulia)wakati alipotembelea maonesho katika Uzinduzi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya ukumbi wa Idris Abdulwakil Vuga Mjini Zanzibar,(kushoto) Afisa Ufuatiliaji na Kampeni Ameir Muhidin Nahoda.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi