Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Mtyangimbole, Azindua Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu
Sep 24, 2024
Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Mtyangimbole, Azindua Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la mradi wa maji wa Mtyangimbole, Madaba mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya mradi wa maji wa Mtyangimbole uliopo katika eneo la Kibilang’ombe, Madaba mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024. 
Muonekano wa ujenzi wa mradi wa maji Mtyangimbole uliopo katika eneo la Kibilang’ombe, Madaba mkoani Ruvuma. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na walimu pamoja na wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024. 
Muonekano wa madarasa ya Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, mara baada ya ufunguzi mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024. 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi