Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uchumi na Chuo Kikuu cha Ankara
Apr 18, 2024
Rais Samia Atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uchumi na Chuo Kikuu cha Ankara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki, Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipeana mkono wa pongezi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki, Profesa Necdet Unuvar alipokuwa akikabidhiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kwenye hafla iliyofanyika chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wageni mbalimbali, viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ankara mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki, Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali, baadhi ya waandishi wa habari, wanafunzi pamoja na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi