Rais Samia Ashiriki Mkutano Maalum wa 18 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC uliofanyika kwa njia ya Mtandao
Dec 22, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano Maluum wa 18 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwa njia ya mtandao leo tarehe 22 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakizungumza kwa njia ya mtandao leo tarehe 22 Desemba, 2021