Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Amuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Nov 05, 2025
Rais Samia Amuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.
Na Ofisi ya Rais - Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. Hamza Said Johari mara baada ya tukio la uapisho, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi