Rais Mstaafu Kikwete Aongoza Bodi ya Wakurugenzi GPE Kutembelea Skuli Visiwani Zanzibar
Dec 04, 2023
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Makamu Mwenyekiti wake, Bi Susan Liautaud (mwenye barakoa) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mhe. Lela Mohamed Mussa (kushoto kwa Dkt. Kikwete) wakiangalia wanafunzi katika darasa la skuli ya Maandalizi ya Awali ya Kikaangoni iliyopo katika Wilaya ya Magharibi.
Na
Mwandishi Wetu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na na Afisa Mtendaji Mkuu wa GPE, Bibi Laura Frigenti, wakifurahia mchoro wa mwanafunzi katika skuli ya Maandalizi ya Awali ya Kikaangoni iliyopo katika Wilaya ya Maagharibi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Makamu Mwenyekiti wake, Bi Susan Liautaud (mwenye barakoa) wakiwa na mtoto wa mmoja wa wazazi wa watoto wanaosoma skuli ya Maandalizi ya Awali ya Kikaangoni iliyopo katika Wilaya ya Maagharibi.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Makamu Mwenyekiti wake, Susan Liautaud na Afisa Mtendaji Mkuu wa GPE, Bibi Laura Frigenti na wajumbe wa bodi katika picha ya pamoja baada ya kukagua Skuli ya Msingi ya Kisiwandui.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Makamu Mwenyekiti wake, Bi Susan Liautaud wakiwa katika picha ya pamoja na Walimu wa Skuli ya Msingi ya Kisiwandui.