Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Hospitali Tunduma, Barabara ya Mpemba-Isongole Km 50.3
Oct 06, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47677" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ili kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma katika eneo la Mpemba Tunduma mkoani Songwe.[/caption] [caption id="attachment_47678" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya majengo ya Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma katika eneo la Mpemba Tunduma mkoani Songwe.[/caption] [caption id="attachment_47679" align="aligncenter" width="750"] Ujenzi wa majengo ya Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma katika eneo la Mpemba Tunduma mkoani Songwe ukiwa katika hatua za mwisho.[/caption] [caption id="attachment_47680" align="aligncenter" width="750"] Mfano wa hospitali hiyo ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma utakavyokuwa mara baada ya kukamilika.[/caption] [caption id="attachment_47681" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Viongozi wengine kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa barabara ya Mpemba-Isongole km 50.3 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.[/caption] [caption id="attachment_47682" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Viongozi wengine kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa barabara ya Mpemba-Isongole km 50.3 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.[/caption] [caption id="attachment_47683" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati akiwasili Mpemba mkoani Songwe .[/caption] [caption id="attachment_47684" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mtoto Joan Schinga mmoja wa wanakwaya ya Watoto ya Light Angels ya Kanisa la Moravian Tunduma ambao waliimba wimbo wa kukemea Rushwa mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa barabara ya Mpemba-Isongole km 50.3 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.[/caption] [caption id="attachment_47685" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mtoto Joan Schinga mmoja wa wanakwaya ya Watoto ya Light Angels ya Kanisa la Moravian Tunduma ambao waliimba wimbo wa kukemea Rushwa mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa barabara ya Mpemba-Isongole km 50.3 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.[/caption] [caption id="attachment_47686" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mpemba mkoani Songwe mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa barabara ya Mpemba-Isongole km 50.3 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.[/caption] [caption id="attachment_47687" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa Mpemba wakiwa katika shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo hilo.[/caption] [caption id="attachment_47688" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mbozi wakati akielekea Mpemba mkoani Songwe.[/caption] [caption id="attachment_47690" align="aligncenter" width="750"] Wanakwaya ya Light Angels ya Kanisa la Moravian Tunduma mkoani Songwe wakiimba wimbo maalum wa kukemea Rushwa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa barabara ya Mpemba-Isongole km 50.3 itakayojengwa kwa kiwango cha lami. (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi