Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Aongoza Kikao Cha Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam
Aug 29, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_10868" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. Picha na Ikulu[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi