Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Aweka Shada la Maua Katika Makaburi ya Mashujaa wa Zimbabwe
May 29, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43628" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mbele ya mnara wa Kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa wa Taifa la Zimbabwe kabla ya kuweka shada la maua katika eneo hilo lililopo kilometa saba kutoka jiji la Harare nchini Zimbabwe.

[/caption] [caption id="attachment_43630" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua mbele ya mnara wa Kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa wa Taifa la Zimbabwe katika eneo hilo lililopo kilometa saba kutoka jiji la Harare nchini Zimbabwe.
[/caption] [caption id="attachment_43632" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima kabla ya kuweka shada la maua katika eneo hilo la makaburi ya mashujaa wa Zimbabwe.[/caption] [caption id="attachment_43636" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao na Ujumbe wa nchi ya Zimbambwe kilichokuwa kikiongozwa na Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Emmerson Mnangagwa katika Ikulu ya Harare nchini Zimbabwe leo tarehe 29/05/2019[/caption] [caption id="attachment_43637" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi kuhusu Kaburi la mmoja wa Mashujaa wa Zimbabwe Herbert Wiltshire Pfumaindi Chitepo ambaye aliuwawa mwezi machi 1975. Marehemu Herbert Wiltshire Pfumaindi Chitepo alikuwa Mkurugenzi wa Mashtaka DPP mweusi wakwanza Tanganyika na Afrika. PICHA NA IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi