Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Ashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu Kati Yanga na Simba Uwanja wa Taifa
Mar 09, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_51496" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu wakiwapungia mkono wa salamu kwa wapenzi na mashabiki waliojitokeza katika mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020. Mchezo uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga na Simba sifuri.[/caption] [caption id="attachment_51498" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (hawapo pichani) wakishuhudia Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020. Mchezo uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga na Simba sifuri.[/caption] [caption id="attachment_51497" align="aligncenter" width="750"] Mashabiki wa Klabu ya Yanga wakiwa wameshika bango la kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020. Mchezo uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga na Simba sifuri.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi