Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Apokea Gawio la Serikali Kutoka TTCL Jijini Dar es Salaam
May 21, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43234" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Waziri Kindamba wakati akiwasili katika Makao Makuu ya Ofisi za Shirika hilo katika Gorofa la Extelecom Posta jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_43227" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vitendea kazi mbalimbali katika makumbusho iliyopo ndani ya Ofisi za Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_43235" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakuu wa Mikoa minne nchini kwa njia ya Simu ya Video Conference mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Ofisi za Shirika hilo la TTCL lililopo katika Gorofa la Extelecom Posta jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_43231" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Waziri Kindamba mara baada ya kuwasili katika eneo la utoaji wa Gawio katika ofisi za Shirika hilo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_43233" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa TTCL mara baada hafla ya upokeaji wa Gawio la Serikali katika Ofisi hizo za TTCL.[/caption] [caption id="attachment_43222" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Gawio la Serikali kiasi cha Shilingi Bilioni 2.1 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Waziri Kindamba, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omar Nundu katika hafla fupi iliyofanyika katika makao makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi