Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Amuapisha Balozi wa Tanzania Nchini Cuba, Apokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU
Mar 28, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41509" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 28, 2019.[/caption] [caption id="attachment_41506" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kupokea vitabu vya Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 28, 2019.[/caption] [caption id="attachment_41505" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 28, 2019[/caption] [caption id="attachment_41504" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 28, 2019[/caption] [caption id="attachment_41506" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kupokea vitabu vya Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 28, 2019.[/caption] [caption id="attachment_41513" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na Naibu wake Brigedia Jenerali John Mbungo pamoja na Kamishna Valentino Longino Mlowola baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 28, 2019.[/caption] [caption id="attachment_41510" align="aligncenter" width="852"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na Naibu wake Brigedia Jenerali John baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 28, 2019.[/caption] [caption id="attachment_41511" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kamishna Valentino Longino Mlowola baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 28, 2019.[/caption] [caption id="attachment_41512" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na Naibu wake Brigedia Jenerali John Mbungo pamoja na Kamishna Valentino Longino Mlowola baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU pamoja na Makamanda wa Mikoa Yote na Maafisa Waandamizi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 28, 2019[/caption] [caption id="attachment_41513" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na Naibu wake Brigedia Jenerali John Mbungo pamoja na Kamishna Valentino Longino Mlowola baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 28, 2019.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi