Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli akutana na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation Ikulu Dsm
Jun 14, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_3454" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kulia ni balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles[/caption] [caption id="attachment_3458" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi akipeana mikono na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3463" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo na rais Dkt Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi[/caption] [caption id="attachment_3466" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo yake na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kulia ni Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi[/caption] [caption id="attachment_3473" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe Ian wakiwa na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi[/caption] [caption id="attachment_3478" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi baada ya mazungumzo na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3481" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo baina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3482" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Pamoja nao ni Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
PICHA ZOTE NA IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi