Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Afanya Mazungumzo na Askofu Dkt. Gwajima
Jun 03, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43848" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_43850" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_43852" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Naibu Waziri Ofisi wa Waziri Mkuu Kazi, Vijana Ajira Anthony Mavunde wakwanza kutoka kushoto.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi