[caption id="attachment_12449" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akionyesha flash ambayo inataarifa muhimu kuhusu biashara ya madini ya Almasi na Tanzanite alipokuwa akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa ripoti ya Kamati Maalum za Bunge zilizoundwa kuchunguza mwenendo ya biashara hizo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12450" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge na Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuchunguza biashara ya madini ya Almasi Mhe. Mussa Zungu akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti ya Kamati Maalum za Bunge zilizoundwa kuchunguza mwenendo ya biashara hizo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12451" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge ya kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite Mhe. Dotto Biteko akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti ya Kamati Maalum za Bunge zilizoundwa kuchunguza mwenendo ya biashara hizo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12452" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ripoti ya Kamati Maalum za Bunge zilizoundwa kuchunguza mwenendo ya biashara za madini ya Almasi na Tanzanite kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge ya kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite Mhe. Dotto Biteko na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuchunguza biashara ya madini ya Almasi Mhe. Mussa Zungu.[/caption] [caption id="attachment_12455" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisoma ripoti za Kamati Maalum za Bunge za kuchunguza mwenendo ya biashara za madini ya Almasi na Tanzania mara baada ya kukabidhi ripoti hiyo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12456" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) Valentino Mlowola ripoti za Kamati Maalum za Bunge za kuchunguza mwenendo ya biashara za madini ya Almasi na Tanzanite leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12457" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge ya kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite Mhe. Dotto Biteko (kulia) akimuelekeza jambo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti ya Kamati Maalum za Bunge zilizoundwa kuchunguza mwenendo ya biashara za Almasi na Tanzanite leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12458" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya viongozi wakifuatilia hafla ya kukabidhi ripoti za Kamati Maalum za Bunge za kuchunguza mwenendo ya biashara za madini ya Almasi na Tanzania leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12460" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Kamati Maalum za Bunge za kuchunguza mwenendo ya biashara za madini ya Almasi na Tanzanite mara baada ya kukamilika kwa hafla ya kukabidhiwa ripoti ya kamati hizo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_12461" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuchunguza mwenendo ya biashara ya madini ya Almasi Mhe. Mussa Zungu (wapili kulia) mara baada ya kukamilika kwa hafla ya kukabidhiwa ripoti ya kamati hizo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai.[/caption] [caption id="attachment_12462" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Kamati Maalum za Bunge za kuchunguza mwenendo ya biashara za madini ya Almasi na Tanzanite mara baada ya kukamilika kwa hafla ya kukabidhiwa ripoti ya kamati hizo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge ya kuchunguza mwenendo ya biashara ya madini ya Tanzanite Mhe. Dotto Biteko, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai na Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuchunguza biashara ya madini ya Almasi Mhe. Mussa Zungu. (Picha na: Idara ya Habari - MAELEZO)[/caption]