Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Afanya Ziara Wilayani Kilolo, Iringa
May 02, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_31088" align="aligncenter" width="952"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Luhota pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kalambo (hawapo pichani) zilizopo Iringa vijijini wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.[/caption] [caption id="attachment_31086" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ipogolo mkoni Iringa wakati akitokea Kilolo.[/caption] [caption id="attachment_31087" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi kwa kuimba nyimbo na vijana chipukizi wa Kilolo mara baada ya kuhutubia wananchi waliofika kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa. Picha na Ikulu.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi