Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Kagame wa Rwanda Awasili Nchini kwa Ziara ya Kikazi
Mar 07, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41139" align="aligncenter" width="915"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

[/caption] [caption id="attachment_41141" align="aligncenter" width="865"] Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame akifurahia zawadi ya Kinyago aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_41142" align="aligncenter" width="667"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
[/caption] [caption id="attachment_41143" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame akifurahia zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro mara baada ya kupewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
[/caption] [caption id="attachment_41145" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
[/caption] [caption id="attachment_41146" align="aligncenter" width="768"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi