Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais.Dkt.Shein Azungumza na Dkt. Ndumbaro Ikulu Zanzibar.
Mar 01, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_41009" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas D.Ndumbaro, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia leo,1/3/2019.[/caption] [caption id="attachment_41011" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha, leo, 1/3/2019. Ikulu Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_41012" align="aligncenter" width="768"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mhe.Dkt. Damas D.Ndumbaro, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar leo,1/3/2019[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi