Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo wa uongozi wa Benki ya Stanbic Tanzania, wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Manzi Rwegasira (kushoto kwa Rais) akitoaa maelezo ya utendaji wa benki hiyo, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo 13-11-2024Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na uongozi wa Benki ya Stanbic Tanzania, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Patrick Rutabanzibwa (kulia kwa Rais ) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo 13-11-2024.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Patrick Rutabanzibwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo 13-11-2024.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa