Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Ujumbe wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki
Feb 28, 2024
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki, ukiongozwa na Makamu Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM), Askofu Dkt. Philemon Langas Mollel (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo tarehe 28-2-2024
Na
Ikulu - Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki, ukiongozwa na Makamu Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM), Askofu Dkt. Philemon Langas Mollel (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo tarehe 28-2-2024.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki, ukiongozwa na Makamu Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM), Askofu Dkt. Philemon Langas Mollel (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo tarehe 28-2-2024