Rais Dkt. Mwinyi Azungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Ikulu Zanzibar
Aug 30, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Viongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania ukiongozwa na Askofu Mkuu, Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 30-8-2023, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Na
Ikulu-Zanzibar

RRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Viongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania ukiongozwa na Askofu Mkuu, Maimbo Mndolwa (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 30-8-2023, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar