Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Ujumbe wa Kijeshi Kutoka Nchini India
Oct 04, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka nchini India wakiongozwa na Jenerali Manoj Pande (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo
Na
Ikulu - Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar, Jenerali Manoj Pande Kiongozi wa Ujumbe wa Kijeshi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar, Jenerali Manoj Pande Kiongozi wa Ujumbe wa Kijeshi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Jenerali Manoj Pande , Kiongozi wa Ujumbe wa Kijeshi wa jeshi la Nchi Kavu kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya mazungumzo na ujumbe huo