Tuvuti Kuu
Mrejesho
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO
Rais Dkt. Mwinyi Afungua Mkutano wa Mafunzo kwa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya SADCOPAC
Apr 17, 2024
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Kamati mbalimbali za Bunge wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa mafunzo ya kuwajengea uwezo pamoja na ufanyaji kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akifungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jijini Zanzibar leo 17-4-2024.
Na Ikulu - Zanzibar
Washiriki wa Mkutano wa mafunzo wa kuwajengea uwezo pamoja na ufanyaji kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Uguja jijini Zanzibar leo 17-4-2024
Habari Mpya
Hatutavumilia vitendo vyovyote vinavyochochea machafuko na mifarakano nchini – R...
Sep 17, 2024
Tanzania Yazuia Tani 216 za Kemikali Hatari kwa Tabaka la Ozoni
Sep 17, 2024
Rais Dkt. Mwinyi Atoa Rai kwa ZRCP Kuanzisha Mfumo Wezeshi Kwenye Biashara Zinaz...
Sep 17, 2024
Mwanza Yaja na Kliniki ya Ardhi Kata kwa Kata Kuwafikia Watu Kwenye Maeneo Yao
Sep 13, 2024
Nishati Safi ya Kupikia ni Ajenda ya Kuokoa Maisha ya Watu - Dkt. Biteko
Sep 13, 2024
Waziri Kijaji Akutana na Kamisheni ya Tabianchi ya Bonde la Congo
Sep 13, 2024
Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Marekebisho ya Maandishi
Ndogo
Kawaida
Kubwa