Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Mwinyi Afungua Maonesho ya Nanenane Zanzibar
Aug 01, 2023
Rais Dkt. Mwinyi Afungua Maonesho ya Nanenane Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Nanenane Zanzibar 2023, katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A”Unguja leo 1-8-2023 yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani
Na Ikulu - Zanzibar

Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar 2023, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hayo katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 1-8-2023.

 

Wananchi wa Kijiji cha Kizimbani na Dole wakifuatilia ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hayo katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 1-8-2023.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Muongozo wa Kilimo Zanzibar Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam Mwinyi, baada ya kukizindua katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Madharibi “A”Unguja baada ya kuyafungua Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar 2023 katika viwanja hivyo leo 1-8-2023 na (kulia kwa Mama) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zuberi Ali Maulid.

 

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi