Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Makufuli Afungua Barabara ya Tunduma –Sumbawanga Km 223.21 Katika Eneo la Laela Mkoani Rukwa
Oct 06, 2019
Na Msemaji Mkuu

  [caption id="attachment_47793" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kulia aliyeshika utepe, viongozi wa mkoa wa Rukwa, Mawaziri, viongozi wa Dini pamoja na Chama, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.[/caption] [caption id="attachment_47794" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.[/caption] [caption id="attachment_47795" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Ufunguzi wa barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.[/caption] [caption id="attachment_47796" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Eng. Patrick Mfugale mara baada ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.[/caption] [caption id="attachment_47797" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Barabara ya Tunduma –Sumbawanga km 223.21 iliyofunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la Laela mkoani Rukwa.[/caption] [caption id="attachment_47798" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Laela mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga.[/caption] [caption id="attachment_47800" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chiwanda Tunduma mkoani Songwe mara baada ya kusimama wakati akielekea Sumbawanga mkoani Rukwa.[/caption] [caption id="attachment_47803" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa Ikana wakisangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye eneo hilo wakati akielekea Sumbawanga mkoani Rukwa.[/caption] [caption id="attachment_47805" align="aligncenter" width="750"] Wananchi wa Ikana wakisangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye eneo hilo wakati akielekea Sumbawanga mkoani Rukwa.[/caption] [caption id="attachment_47807" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na maaskari wa Jeshi la Polisi wakati akielekea kukagua kituo cha polisi cha Laela mkoani Rukwa mara baada ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga.[/caption]

[caption id="attachment_47813" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali waliojipanga pembezoni mwa barabara Kuu ya Tunduma Sumbawanga mara baada ya kutoka Laela kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.[/caption] [caption id="attachment_47806" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Barabara ya Tunduma –Sumbawanga km 223.21 iliyofunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la Laela mkoani Rukwa.(Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi