Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli na Rais Lungu wa Zambia Wazindua Kituo cha Mpakani
Oct 06, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_47646" align="aligncenter" width="750"] Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019[/caption] [caption id="attachment_47647" align="aligncenter" width="750"] Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakipeana mikono baada ya kuzindua kwa pamoja wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019[/caption] [caption id="attachment_47648" align="aligncenter" width="750"] Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakiwa na wafadhili wa mradi wakipanda mti kama kumbukumbu baada ya kuzindua Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019[/caption] [caption id="attachment_47649" align="aligncenter" width="750"] Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakiondoka baada ya kuzindua Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019[/caption] [caption id="attachment_47650" align="aligncenter" width="750"] Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakikata utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019[/caption] [caption id="attachment_47651" align="aligncenter" width="683"] Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsihi Mkuu wa Wilaya ya Nakonde Bw. Alex Sinkala kusimama baada ya kumpigia magoti kumshukuru kwa masada wa shilingi milioni tano taslimu ili kusaidia ujenzi wa Shule ya Sekondary ya Nakonde wakati akihutubiua wananchi wa Zambia Katika mkutano wa hadhara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019[/caption] [caption id="attachment_47652" align="aligncenter" width="750"] Rais Dkt John Pombe Magufulii akihutubiua wananchi wa Zambia Katika mkutano wa hadhara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019[/caption] [caption id="attachment_47653" align="aligncenter" width="683"] Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakipeana mikono baada ya kukada utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019[/caption] [caption id="attachment_47654" align="aligncenter" width="683"] Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakikata utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi